• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kibaha Town Council
Kibaha Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Kibaha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Usimamizi
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Watoto
      • Ujenzi
      • Mazingira na Usafishaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mazingira na Mipango Miji
      • UKIMWI
      • Maadili
      • Ustawi wa Jamii
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Viombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WAZIRI MKUU MHE. MAJALIWA AVIPONGEZA VILABU VYA YANGA NA SIMBA

Posted on: May 11th, 2023

Na  WUSM, Dodoma

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ameungana na Watanzania kuipongeza klabu ya Yanga kwa hatua ya nusu fainali waliyofikia katika mashindano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF).

Waziri Mkuu Majaliwa amesema hayo Mei 11, 2023 Bungeni jijini Dodoma ikiwa ni utaratibu aliojiwekea katika mikutano ya Bunge kila siku ya Alhamisi kupata wasaa wa kujibu maswali ya Wabunge ya papo kwa papo ili kutoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali.

“Hakika Dar Young Afrika inaendelea kupeperusha vyema bendera ya Tanzania, na niwapongeze sana kwa matokeo ya jana, tunawaombea kwa mchezo wa marudiano kule Afrika Kusini mshinde kwa magoli mengi” amesema Waziri Mkuu.

Waziri Mkuu Majaliwa amesisitiza kuwa Watanzania wanahamu ya kuona Tanzania inaingia kwenye mashindano hayo ya CAF kwenye ngazi ya fainali.

Aidha, Waziri Mkuu ameipongeza timu ya Simba kwa hatua iliyofika ambapo amesema anaamini wamejifunza kutoka kwa klabu jirani na hatua waliyofika huku akiamini msimu ujao vilabu viwili au zaidi vifanye vizuri zaidi.

Katika msimu wa 2022/2023 timu za Tanzania za Yanga na Simba zimefanya vizuri kwenye mashindano ya Afrika kwa timu ya Yanga hadi sasa ipo hatua ya nusu fainali Kombe la Shirikisho Barani Africa (CAF) na timu ya Simba ikifikia hatua ya robo fainali ya kombe la Klabu Bingwa Afrika.

Matangazo

  • TANGAZO LA HUDUMA ZA KIBINGWA HOSPITARI YA WILAYA LULANZI March 22, 2023
  • MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUFANYA KAZI YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 July 27, 2022
  • KUAHIRISHWA KWA MAFUNZO YA SENSA July 28, 2022
  • HALI YA MAKUSANYO YA HALMASHAURI KWA MIAKA KUMI MFULULIZO KUANZIA 2012-2022 August 05, 2022
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • ZAIDI YA BILIONI 1.2 KUKAMILISHA MAJENGO YA ELIMU KIBAHA.

    September 22, 2023
  • KIBAHA YAADHIMISHA SIKU YA USAFISHAJI KWA KISHINDO

    September 22, 2023
  • BILIONI 1.8 KUNG'ARISHA MJI WA KIBAHA KWA LAMI.

    September 20, 2023
  • SERIKALI YA SAMIA YAJENGA SHULE ZA SEKONDARI MBILI MPYA-KIBAHA.

    September 20, 2023
  • Tazama Zote

Video

Mh. Waziri Mkuu akiwa ziarani Kibaha
Picha za Kutembea

Kiungo cha Haraka

  • Sheria Ndogo(Ushuru wa magari ya abiria na mizigo)
  • Barua Pepe
  • Uujazi wa Viwanja
  • Muundo Wa Kiuongozi Halmashauri
  • Dira na Dhamira ya Halmashauri

Kiungo Kinachohusiana

  • Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Ofisi ya Raisi, Tawala za Serikali za Mikoa na Mitaa
  • Utumishi
  • Utumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani Ilipo

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera za Siri
    • Disclamer
    • MMM
    • Sitemap
    • Huduma

Haki Zote Zimahifadhiwa