DIRA
Dira ya Halmashauri ya Mji wa Kibaha ni "Kuwa Halmashauri yenye mazingira mazuri na huduma za ubora wa juu kwa maendeleo endelevu ifikapo 2025".
DHAMIRA
Dhamira ya Halmashauri ya Mji wa Kibaha ni "Kutoa huduma zenye ubora wa hali ya juu na kutengeneza mazingira mazuri kwa ajili ya kuwekeza kwa matumizi mazuri ya rasilimali zilizopo kwa maendeleo endelevu".
MAADILI YA MSINGI
Ili kufikia dira na dhamira, halmashauri ya Mji wa kibaha itaongozwa na maadili yafuatayo:
i) Kusikiliza Wateja
ii) Uwazi na Uwajibikaji
iii) Uaminifu
iv) Ari ya kufanya kazi kwa pamoja
v) Nidhamu Thabiti
Haki Zote Zimahifadhiwa