• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kibaha Town Council
Kibaha Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Kibaha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Usimamizi
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Watoto
      • Ujenzi
      • Mazingira na Usafishaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mazingira na Mipango Miji
      • UKIMWI
      • Maadili
      • Ustawi wa Jamii
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Viombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Kilimo na Ushirika

BAADHI YA MAJUKUMU YA MKUU WA IDARA YA KILIMO/UMWAGILIAJI NA USHIRIKA MJI KIBAHA.

(TAICO)

Kuratibu upatikanaji/uhakika wa chakula na ongezeko la kipato kwa kaya za wakulima katika Halmashauri ya Mji Kibaha.

Kuandaa malengo ya uzalishaji mazao kulingana na mazingira ya Halmashauri

Kuandaa mahitaji ya pembejeo na zana, kusimamia upatikanaji na Matumizi sahihi.

Kuratibu upatikanaji wa chakula, Matumizi na hifadhi ya kipindi cha njaa

Kuhimiza Ushirika na kusimamia uendelevu wake kwa ajili ya kuboresha soko la mazao na kipato kwa wakulima

Kubuni na kusimamia utekelezaji wa miradi ya kilimo kwa kuzingatia bajeti, sheria na miongozo iliyopo

Kuratibu zoezi la uibuaji miradi kulingana na fursa zilizopo

Kushirikiana na jamii kuwezesha miradi iliyopo kuwa endelevu kwa manufaa ya jamii

Kuandaa mpango wa mafunzo kwa maafisa ugani na wakulima pamoja na wana ushirika ili kuhakikisha mbinu, matokeo ya utafiti na  technolojia mpya zinawafikia wananchi na wanazitumia kuongeza tija katika mipango yao.

Usimamizi wa matumizi sahihi ya rasilimali za Idara ya Kilimo na Ushirika kwa kuzingatia mifumo ya Kimenejiment(Performance Management Sysyems, Strategic Plan, Manifesto) na maelekezo kadri yatolewavyo na viongozi.

Kuwezesha Matumizi sahihi ya Sheria/ sera/miongozo ya kilimo kwa lengo la kuongeza tija katika kilimo ambazo ni pamoja na:

  • Matumizi ya Sheria ndogo ya kilimo
  • Matumizi sahihi ya  sera na  Miongozo ya kilimo
  • Matumizi sahihi  Sheria mama zinazosimamia kilimo

Kusimamia utendaji kazi wa maafisa ugani wa kilimo waliopo Ndani ya Mji Kibaha.

Kuandaa na kuwasilisha taarifa kulingana na mahitaji ya mfumo wa utawala katika ngazi mbalimbali.

Imeandaliwa na      

NJAU, J.M.

AFISA KILIMO- MJI KIBAHA

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA WA FEDHA 2021/2022 February 03, 2021
  • SHILINGI 249,240,000/ KUKOPESHWA KWA VIKUNDI 76 MFUKO WA MAENDELEO YA WANAWAKE,VIJANA NA WALEMAVU KIBAHA MJI February 17, 2021
  • UUZAJI WA VIWANJA HALAMASHAURI YA MJI KIBAHA March 12, 2021
  • TAARIFA KWA UMMA HALI YA UFAULU KWENYE MITIHANI YA KITAIFA YA KIDATO CHA IV, KIDATO CHA II, DARASA LA VII NA DARASA LA IV HALMASHAURI YA MJI KIBAHA, 2020 March 12, 2021
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MADIWANI KIBAHA MJINI WAPATA MBINU MPYA ZA UKUSANYAJI MAPATO

    June 24, 2022
  • KIBAHA MJI YAPATA HATI SAFI KWA MIAKA 10 MFULULIZO

    June 17, 2022
  • HOTUBA YA BAJETI YA SERIKALI KUU KWA MWAKA 2022-23

    June 16, 2022
  • Ujenzi wa Soko la Kisasa La Halmashauri ya Mji Kibaha lafikia 95%

    June 14, 2022
  • Tazama Zote

Video

Mh. Waziri Mkuu akiwa ziarani Kibaha
Picha za Kutembea

Kiungo cha Haraka

  • Sheria Ndogo(Ushuru wa magari ya abiria na mizigo)
  • Barua Pepe
  • Uujazi wa Viwanja
  • Muundo Wa Kiuongozi Halmashauri
  • Dira na Dhamira ya Halmashauri

Kiungo Kinachohusiana

  • Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Ofisi ya Raisi, Tawala za Serikali za Mikoa na Mitaa
  • Utumishi
  • Utumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani Ilipo

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera za Siri
    • Disclamer
    • MMM
    • Sitemap
    • Huduma

Haki Zote Zimahifadhiwa